Messi aki-pozi na Mbwa wake ambaye amekuwa haraka ndani ya miezi takribani nane |
Unamkumbuka yule Mbwa ambaye Lionel Messi alizawadiwa na mpenzi wake, Antonella Roccuzzo mwanzoni mwa mwaka huu?
Sasa amekuwa mkubwa na Messi ambaye anauguza majeraha ame-post picha Instagram ikimuonesha yeye akiwa na Mbwa huyo anayeitwa Dogue de Bodeaux.
Messi, Mshindi mara tano wa Ballon D'or amezaa watoto wawili na Roccuzzo, ambaye wamekuwa kwenye mahusiano kwa miaka minane.
Messi alipokabidhiwa Mbwa huyo Mwezi Februari Mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment