Thursday, September 8, 2016

Arsene Wenger na Jose Mourinho bado wanaonekana kuwa na bifu zito baada ya kuzua tafrani kwenye mkutano wa UEFA maalum kwaajili ya makocha wa timu mbalimbali wenye mafanikio makubwa uliofanyika wiki iliyopita.

Gazeti la michezo la Marca kutoka nchini Uhispania limeripoti kuwa Wenger alikataa kuruhusu Mourinho akae mbele yake wakati Sir Alex Ferguson akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo huko Nyon.
This handout picture released by UEFA shows (LtoR, front row) Juventus' coach Massimiliano Allegri, Manchester United's coach Jose Mourinho, UEFA Coaching Ambassador Sir Alex Ferguson, UEFA interim General Secretary Theodore Theodoridis, Bayern Munich's Carlo Ancelotti, Paris Saint Germain's coach Unai Emery and Real Madrid's coach Zinedine Zidane. (LtoR second row) UEFA Chief Refereeing Officer Pierluigi Collina, Gent's head coach Hein Vanhaezebrouck, Newcastle United's coach Rafael Benitez, FC Zenit's coach Mircea Lucescu, Arsenal's coach Arsene Wenger, FC Barcelona's coach Luis Enrique, Wolfsburg's coach Dieter Hecking, Dynamo Kiev's coach Serguei Rebrov, UEFA director of competitions Giorgio Marchetti and UEFA chief technical officer Ioan Lupescu posing for a picture during a session of the Elite football Club Coaches Forum at the UEFA headquerters in Nyon, on August 31, 2016
Akiwa amewasili kwenye mkutano huo kwa kuchelewa, meneja huyo wa Manchester United aliuliza kama angeweza kukaa kwenye moja ya baadhi ya siti zilizokuwa wazi na hapo ndipo Wenger alipoingilia kwa kusema: "Hapana, haiwezekani."

Baada ya tukio hilo ilibidi Mourinho aangalie sehemu nyingine ya kukaa kwa usaidizi wa watu waliokuwa wakitoa huduma mkutanoni hapo.

Ikumbukwe kwamba, Mourinho na Wenger wamekuwa hawana uhusiano mzuri kwa kipindi kirefu. 

Miaka miwili iliyopita, Mourinho, wakati huo akiwa meneja wa Chelsea alimbandika jina Wenger kwamba ni mtaalamu wa kufeli "specialist in failure" baada ya kukaa Arsenal miaka tisa bila kuchukua taji lolote.

Baadaye tena alikataa kuomba radhi mpaka pale Arsene Wenger alitangulia kuomba radhi kwa kumwambia mreno huyo kwamba ni muoga wa kufeli.

Mwaka 2005, kipindi chake cha mwanzo akiwa Chelsea, Mourinho alimkandia sana Wenger na hata kufikia hatua ya kumfananisha na mpiga chabo  "voyeur" baada ya kuwa anaizungumzia Chelsea kupita kiasi, licha kwamba baadaye aliomba radhi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video