Barcelona wamerudi kileleni mwa La Liga baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Leganes, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Estadio Butarque.
Magoli ya Barcelona yamefungwa na Lionel Messi dakika ya 15 na 55, Luis Suarez dakika ya 31 na Rafinha dakika ya 64.
Goli pekee la Leganes limefungwa na Gabriel dakika ya 80.
Matokeo haya yanawasogeza Barcelona kileleni kwa kuwa na jumla ya alama 9 sawa na Real Madrid lakini wakiwa mbele kwa mchezo mmoja.
0 comments:
Post a Comment