
KITUO pekee cha Televisheni cha Azam TV kinachorusha Live mitanange ya Ligi kuu Soka Tanzania Bara kimetoa ratiba yake ya mechi zitakazoruka moja kwa moja kupitia chaneli zake kama inavyoonekana pichani Juu.
Mechi 'Babu kubwa' ni kati ya Azam FC watakuwa wenyeji wa Simba SC Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment