Wednesday, September 28, 2016

Islam Slimani, ambaye ana rekodi nzuri ya kuwafunga Porto tangu akiwa timu yake ya zamani ya Sporting Lisbon, aliifungia Leicester goli pekee kwa kichwa baada ya kuunganisha krosi ya Mualgeria mwezake Riyad Mahrez.

Jesus Corona aliyeingia kutokea benchi almanusura Porto lakini shuti lake liligonga mwamba.

Leicester wanaongoza Kundi F wakiwa na alama 6, mbili zaidi ya wanaowafuatia FC Copenhagen, ambao watakutana Oktoba 18.

Dondoo muhimu
  • Ndani ya michezo mitatu tu iliyopita aliyocheza mwaka huu wa 2016, Islam Slimani amefunga mara tano.
  • Hilli ni goli lake la tatu ndani ya michezo minne akiwa na Leicester, magoli yote amefunga kwa njai ya kichwa.
  • Leicester City ni klabu ya 10 kuiwakilisha England katika Champions League na kushinda michezo miwili ya awali wakiwa wanashiriki kwa mara ya kwanza.
  • Islam Slimani (Leicester, Sporting CP) amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Algeria kufunga mara kwenye timu tatu tofauti katika Champions League.
  • Iker Cassilas ameendeleza uteja kwa Sliman baada ya kufungwa mara nne ndani ya mwaka 2016 (Mara tatu wakati Slimani yupo Sporting na mara moja ndiyo jana dhidi ya Leicester).

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video