Tuesday, September 6, 2016

Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kesho watarajia kuwavaa na Ndanda FC, mchezo utakaofanyika katika dimba la Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.
Mchezo huo ambao unatarajia kuwa na ushindani wa aina yake kutokana na historia ya timu hizo zinapokutana kwenye dimba hilo utaanza majira ya saa 10:00 za jioni.
Azam One ndiyo channel itakayorusha mubashara mchezo huu.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video