Friday, September 9, 2016

Joseph Kimwaga (kulia) akiwa kwenye pozi la picha na wachezaji wenzake wa Mwadui FC.

'Derby' ya Shinyanga inapigwa kesho Uwanja wa Mwadui Complex, kati ya Wenyeji, Mwadui FC na Stand United 'Chama la Wana'.
Joseph Kimwaga anayeichezea Mwadui FC kwa mkopo akitokea Azam FC, ni miongoni mwa wachezaji ambao huenda kocha mkuu wa timu hiyo, Jamhuri Kiwhelo 'Julio' atawachezesha.
Kimwanga na wenzake wanaonekana kuwa na furaha ambapo ame-post picha ikipiga Selfie na wenzake (Pichani juu).
Selfie ni mtindo wa upigaji picha ambao unatamba kwasasa Duniani.
Mwadui wanaoshika nafasi ya 10 kwenye msimamo wakiweka Pointi 3 kibindoni katika mechi tatu walizocheza, wataingia Dimba wakiwa na kumbukumbu ya kufungwa 1-0 na Kagera Sugar kwenye mechi ya VPL iliyochezwa Mwishoni mwa Juma lililopita Uwanja wa Kaitaba, Kagera.
Stand wanaoshika nafasi ya 6 kwa pointi zao 5 walizovuna katika mechi tatu, wataingia Uwanjani baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita kuwachapa 1-0 Toto African.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video