Thursday, September 15, 2016

Kauli ya Pep Guardiola baada ya mchezo
“Shukrani za dhati ziende kwa wachezaji wote kwa kunipa furaha mimi na mashabiki pia. Natumaini mpira wetu utaendelea kuimarika siku hadi siku na mashabiki wote watafurahia kutuangalia. Tunahitaji sapoti kubwa kwa mashabiki kujaza uwanja ili kushindana na walio bora.

“Mpaka sasa tumeshacheza michezo kadhaa rasmi na tumefanikiwa kushinda yote. Tunazidi kukmarika siku hadi siku. Leo (jana) tumezidi kujifunza mengi zaidi. Isipokuwa kwenye dakika 15 za mwisho za kipindi cha kwanza, lakini vinginevyo tuliutawala mchezo kwa asilimia kubwa sana.”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video