*LIGI KUU ENGLAND*_:
*MOUSSA SISSOKO* Ametoka Newcastle United na kujiunga na Tottenham Hotspur.. *£30m*
*DAVID LUIZ* Ameondoka Paris Saint Germain na kutua CHELSEA* *£32m*
*Jack Wilshere* - Ametua kwa mkopo Bournemouth, akitokea Arsenal.
*Islam Slimani* - Ametimka Sporting Lisbon na kujiunga na Mabingwa watetezi wa EPL,Leicester City kwa mkataba wa miaka mitano.. *£28m*
*Alvaro Arbeloa* - Akiwa mchezaji huru amesajiliwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na West Ham.
*Mario Balotelli* - Akiwa mchezaji huru ameondoka Liverpool na kujiunga na Nice.
*Dieumerci Mbokani* - Ameondoka Dynamo Kiev na kujiunga na Hull City kwa mkopo.
*James Weir*- Amesaini mkataba wa miaka mitatu, Hull City akitokea Manchester United.
*Lazar Markovic* - Ameondoka Liverpool kwenda Sporting Lisbon kwa mkopo.
*Jason Denayer* - Ametimka Manchester City na kujiunga Sunderland kwa mkopo.
*Dominic Calvert-Lewin* - Ametimka Sheffield United na kutua Everton, kwa mkataba wa miaka minne.
*Pau Lopez* - Amesajiliwa na Tottenham kwa mkopo kutoka klabu ya Espanyol.
*Juan Cuadrado* - Ameondoka Chelsea na kujiunga na Juventus kwa mkataba wa mkopo wa miaka mitatu.
*Georges-Kevin Nkoudou* - Ameondoka Marseille na kujiunga na Tottenham, £11m
*Allan Nyom* - Katoka Watford kwenda West Brom, *£3m* kwa mkataba wa miaka minne.
*Andre Wisdom* - Ameondoka Liverpool na kusaini Red Bull Salzburg kwa mkopo.
*Joe Hart* - Ametimka Manchester City na kutua kwa mkopo Torino
*Samir Nasri* - Katoka Manchester City kwenda kwa mkopo Sevilla
*Wilfried Bony* - Kaondoka Manchester City na kutua kwa mkopo Stoke
*Luis Alberto* - Kasepa Liverpool na kusajiliwa na Lazio, *£6m*
*Shani Tarashaj* - Katoka Everton na kujiunga kwa mkopo Eintracht Frankfurt
*Gokhan Inler* - Kaondoka Leicester kwenda Besiktas kwa kandarasi ya miaka mitatu.
*Lee Grant* - Kasepa Derby kwenda Stoke kwa mkopo.
*Cristian Cuevas* - Ametoka Chelsea na kujiunga kwa mkopo Sint-Truiden.
*Franck Tabanou* - Ameondoka Swansea na kujiunga na Granada kwa mkopo.
*Didier Ndong* - Ametoka Lorient na kusajili na Sunderland, kwa mkataba wa miaka mitano, 13.6m*
*Serge Gnabry* - Ametimka kutoka Arsenal kwenda Werder Bremen, ada haijatajwa.
*Shay Facey* - Ameondoka Manchester City na kujiunga kwa mkopo Heerenveen.
*Jeff Hendrick* - Ametimka Derby na kusajiliwa na Burnley, *£10.5m*
*Adama Traore* - Kaachaana na Aston Villa na kujiunga na Middlesbrough kwa mkataba wa miaka minne.
*Bruno Martins Indi* - Katoka Porto kwenda Stoke kwa mkopo.
*Marcos Alonso* - Kaibwaga Fiorentina na kujiunga na Chelsea, £24m
*Eliaquim Mangala* - Kaenda kwa mkopo Valencia akitokea Manchester City .
*Philipp Wollscheid* - Kaondoka Stoke kwenda kwa mkopo Wolfsburg.
*Cameron McJannett* - kasepa Luton na kutua Stoke, ada haijatajwa
*Baily Cargill* - Katoka Bournemouth na kwenda kwa mkopo Gillingham.
*Mihai Dobre* - Kasepa Viitorul Constanta na kujiunga Bournemouth
*Diego Poyet* - Released by West Ham
0 comments:
Post a Comment