Tuesday, September 6, 2016

Uhispania wamefungua kampeni yao ya harakati za kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 kwa ushindi wa kishindo wa mabao 8-0 dhidi ya Liechtenstein usiku wa kuamkia leo.

Diego Costa alifungua ukurasa wa magoli mnamo dakika ya 10, kabla ya kiungo wa Barcelona Sergi Roberto, David Silva na Vitolo kuongeza mengine ndani ya dakika nne.

Mshambuliaji wa Chelsea Costa akafunga goli la pili kwenye mchezo na la tano kwenye mashindano kabla Alvaro Morata hajapiga mawili ya haraka-haraka mnamo dakika ya 82 na 83

David Silva alihitimisha karamu ya magoli kwa Uhispania kwa kufunga goli la nane dakika ya 90.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video