
Beki wa kulia wa Manchester City Aleksandar Kolorov (mwenye pengo) na kipa Willy Caballero wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kupata ushindi dhidi ya mahasimu wao Manchester United jana. Kolorov alipata pengo hilo baada ya kupigwa kiwiko na kiungo wa United Marouane Fellaini wakati wakiwa katika harakati za kuwania mpira

0 comments:
Post a Comment