HD VIDEO: SIMBA WALIVYOIFANYA MAJI MAJI IKUMBUKE LIZOMBE LAO UWANJA WA TAIFA... Septemba 24, 2016, Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, waliibamiza mabao manne kwa bila, Maji Maji FC ya Ruvuma, Wanalizombe. Magoli ya Mnyama Simna, yalifungwa na Shiza Kichuya (Mawili) na Jamal Simba Mnyate (Mawili).
0 comments:
Post a Comment