Septemba 24, 2016, Azam FC wakitokea kufungwa 1-0 na Simba SC, walijikuta wakipoteza mechi ya pili mfululizo msimu wa 2016/2017 wa VPL kufuatia kuchapwa 2-1 na Ndanda FC.
Magoli ya Ndanda yalitiwa kimiani na Omary Mponda na Riphati Hamis, wakati la Azam FC lilifungwa na Fransisco Zekumbawira.
0 comments:
Post a Comment