Septemba 11, 2016 Simba iliwakaribisha Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara iliyochezwa Uwanja wa Uhuru, Jijini, Dar es salaam.
Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wana TamTam hao kutoka Manungu, Turiani, Mkoani na waliocheka na nyavu ni Ibrahim Hajib na Laudit Mavugo.
0 comments:
Post a Comment