Pep Guardiola anakabiliwa na mtihani mzito kufuatia straika wake tegemezi Sergio Aguero kukabiliwa na adhabu ya kukosa michezo mitatu baada ya kumpiga kiwiko kwa makusudi Winston Reid na hivyo kuukosa mchezo wa derbu dhidi ya Mancheser United utakaofanyika Sept 10.
Aguero amekuwa ndiyo mchezaji anayeongoza safu ya ushambuliaji ya City kutokana na uwezo wake mkubwa wa kusumbua safu za ulinzi za timu pinzani.
Hivyo kukosekana kwa Aguero maana yake Pep Guardiola itabidi ajaribu kutumia mifumo tofauti ili kuweza kuwatumia washambuliaji waliobaki kwaajili ya kutoa matokeo kwa timu.
Angalia hapa namna ambavyo anaweza ku-accommodate washambuliaji wake kwenye game dhidi ya United na nyingine ambazo Aguero atakosekana.
0 comments:
Post a Comment