Thursday, September 8, 2016

Eden Hazard amekuwa mchezaji wa pili wa Chelsea ndani ya siku mbili kumpongeza kocha mpya wa klabu hiyo, Antonio Conte, huku akimponda aliyekuwa kocha wake wa zamani, Jose Mourinho.
Mbelgiji huyo alijikuta kwenye kiwango kibovu msimu uliopita ambapo Mwezi Desemba Mwaka Jana, Ulimwengu wa soka ulishuhudia, Mourinho akifukuzwa kazi.
Gary Cahill aliuita msimu wa 2015-2016 kuwa ulikuwa Janga kwa Chelsea.
Hazard says new Blues manager Antonio Conte trusts and knows how to treat his players
Hazard naye ameunga mkono akisema labda Mourinho alikuwa hajui namna ya kuwaunganisha nyota wake waliokuwa wameshinda Ubingwa msimu wa nyuma yake.
"Conte anawaamini wachezaji wake na sasa tuko vizuri baada ya kufanya vibaya msimu uliopita; amesema Hazard.
"Siku zote nimekuwa mchezaji yuleyule, lakini Conte anajua namna ya kuwaongoza wachezaji ambao wanampa kilichoboroa".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video