- Jose Mourinho anafundisha timu inayoshiriki Michuano ya Europa kwa mara ya kwanza tangu ashinde taji hilo akiwa na Porto mwaka 2003, wakati huo likiitwa Uefa Cup.
- Zlatan Ibrahimovic ameshiriki kwa mara ya kwanza michuano hii tangu alipofanya hivyo mara ya mwisho Novemba 2001, wakati huo akiichezea Ajax.
- Kwa mara ya kwanza kwenye historia yao, Manchester United wamepoteza mchezo wao wa ufunguzi kwenye hatua ya makundi katika Michuano ya Ulaya kwenye misimu miwili mfululizo.
- United wamecheza mechi sita bila ya clean sheet kwenye Michuano ya Ulaya tangu pale walipotoka suluhu dhidi ya PSV Novemba 2015.
DONDOO MUHIMU UNITED IKIPIGWA 1-0 NA FAYENOORD
Dondoo muhimu
0 comments:
Post a Comment