Kikosi bora cha muda wote cha Arsenal kwa mujibu wa Cazorla
Golikipa - David Seaman;
Beki wa kushoto - Ashley Cole, Namba nne- Tony Adams, Namba tanoB - Sol Campbell, Beki wa kulia - Bacary Sagna;
Winga wa kulia - Robert Pires, kiungo mkabaji GilbertoSilva, Namba nane- Patrick Vieira, Winga wa kushoto - Mesut Ozil;
Namba tisa - Thierry Henry, Namba kumi - Dennis Bergkamp
0 comments:
Post a Comment