Wales wameendeleza mwenendo wao mzuri baada ya Michuano ya Euro kufuatia kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Moldova, mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 uliofanyika Uwanja wa Cardiff City usiku wa kuamkia leo.
Magoli ya Wales yalifungwa na Sam Vokes dakika ya 11, Joe Allen dakika ya 38 na Gareth bale kumalizia karamu ya magoli kwa kufunga magoli mawili mnamo dakika ya 51 na 90.
0 comments:
Post a Comment