Sunday, August 7, 2016


Baada ya dirisha la usajili wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara kufungwa  Saa 6:00 usiku wa jana, leo zimesambaa taarifa kwamba Yanga SC ndio timu pekee ambayo imeshindwa kuwasilisha jina hata moja la usajili wake.

Habari zilieleza kwamba TFF alithibitisha kuwa hadi mtandao wa kimataifa wa usajili (TMS) unafungwa jana usiku, ni Yanga pekee walikuwa hawajatuma jina lolote.

Kutokana na hali hiyo, Uongozi wa Yanga umetoa ufafanuzi juu ya taarifa hizo. (Angalia picha juu).

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video