
Taarifa kutoka klabu ya Yanga zinadai kuwa tayari klabu hiyo imekamilisha zoezi la usajili wake katika mfumo wa TMS. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Baraka Duusdedit usajili huo umefanyika haraka na kwa usahihi kabla ya muda wa masaa 48 waliopewa kuisha.
Taarifa zaidi zitawajia.
0 comments:
Post a Comment