Baada ya kufanikiwa kufanya uchaguzi wake wa viongozi mwezi Juni mwaka huu na Mwenyekiti wake, Yusuf Manji kutetea nafasi yake, klabu ya Young Africans inatarajia kufanya mkutano mkuu wa Wanachama Agosti 6 mwaka huu katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Osterbay, Dar es salaam kuanzia saa tatu kamili asubuhi.
Home
»
KITAIFA
» YANGA YATANGAZA TAREHE YA MKUTANO MKUU WA WANACHAMA...SIKU HIYO HIYO KUKIPIGA NA MTIBWA SUGAR ..
Tuesday, August 2, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment