Tuesday, August 23, 2016

 Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi yake ya mwisho mwenye uwanja wa TP Mazembe tayari kwa ajili ya mchezo wao wa mwisho kwenye Kundi A dhidi ya TP Mazembe ikiwa ni mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika.

Yanga tayari imeondolewa kwenye kinyang’anyiro hicho wakati TP Mazembe wao wakiwa tayari wamefuzu kucheza nusu fainali ya mashindano hayo huku mchezo huo kwa upande wao ni wa kuamua kama wataweza kuongoza Kundi A ikiwa watapata ushindi.





0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video