Thursday, August 18, 2016

Kikosi cha Yanga cha Yanga kesho na keshokutwa kitaendelea na mazoezi kujiandaa na mechi ya jumanne dhidi ya TP Mazembe uko Lubumbashi Congo.
Mechi itachezwa tarehe 23.08.2016 siku ya Jumanne saa nane na nusu mchana kwa saa za Congo.
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka nchini siku ya Jumapili kuelekea Lubumbashi Congo.
Marefaree wa mchezo huo ni.
Ref. Helder Martins De Carvalho(Angola)
A.I Jean Claude Birumushashu(Burundi)
A.II Arsenio Chadreque Marengula(Mozambique)
R.R. Antonio Muachihuissa Caxala(Angola)
M.C Gerges Rodolphe Bibi(Seylsius)
R.A Ali Mohamed Ahmed(Somalia)
GC Russell Paul (Rep.of South Africa)
Imetolewa na
Idara ya habari na maelezo
Yanga sc.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video