Saturday, August 6, 2016

Timu ya soka ya Yanga imelazimishwa suluhu na Wakata Miwa wa Mtibwa Sugar katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo wa leo, ambao Yanga walikuwa wakijiandaa kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam na mchezo wa raundi ya pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MO Bejaia, imeshuhudiwa beki wa kulia Hassan Kessy kwa mara ya kwanza akicheza huku akiwa na jezi ya Yanga.
Yanga wanashika nafasi ya mwisho kwenye kundi A wakiwa na alama moja nyuma ya TP Mazembe, MO Bejaia na Medeama.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video