Wednesday, August 31, 2016

AFC Bournemouth wamekubali kumsajili kiungo wa Arsenal Jack Wilshere kwa mkopo wa msimu mzima.

"Jack ni mchezaji wa aina yake ambaye naamini atatoa mchango mkubwa sana kwa klabu," amesema Mtendaji Mkuu wa Bournemouth Neill Blake.

"Ni mchezaji ambaye hahitaji kutambulishwa kwasababu kila mtu anajua uwezo wake, na naamini washabiki wetu watafarijika sana kumwona akiwa ndani ya jezi ya Bournemouth."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video