Sunday, August 21, 2016

WEST HAM wameuzindua vyema uwanja wao mpya wa London Stadium (zamani Olimpiki) baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya Bournemouth. Uwanja huo ulijaza idadi ya watazamaji  56,977

Bournemouth walibaki 10 uwanjani kuanzia Dakika ya 77 kufuatia mchezaji wao Harry Arter kutolea nje baada ya kupata kadi mbili za njano na nyekundu.

West Ham walipata bao hilo pekee katika mchezo huu kupitia kwa beki wao wa kulia Michail Antonio kwa kichwa baada ya kuunganisha krosi ya Tore katika Dakika ya 85.

Antonia ameingia kwenye historia mpya ya klabu hiy ya mchezaji w kwanza kufunga bao la kwanza katika uwanja huo mpya ambao sasa ndio uwanja rasmi wa nyumbani wa West Ham baada ya kuhama kwenye dimba la Upton Park punde baada ya msimu ulioisha kumalizika.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video