Friday, August 5, 2016

West Ham wamefanikiwa kutumia vizuri uwanja wao mpya wa nyumbani wa Olympic baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya NK Domžale ya Slovenia.
Mabao ya West Ham yamefungwa na Cheikhou Kouyate dakika ya 8 na 25 huku la mwisho likifungwa na Sofiane Feghouli dakika ya 81.
Kwa matokeo hayo West Ham wameitupa nje Domžale kwa wastani wa mabao 4-1, kufuatia mchezo wa kwanza kupoteza kwa mabao 2-1.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video