Monday, August 8, 2016


Simba SC leo inaadhimisha Tamasha la 'Simba Day' linaloenda sanjari na Maadhimisho ya miaka 80 tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo.
Sherehe za kilele cha 'Simba Day' zinafanyika leo uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, ambapo pamoja na burudani mbalimbali zitakazosindikiza siku hii muhimu kwa Wanasimba, saa 10:00 Jioni kutapigwa mtanange mkali wa soka kati ya Simba na AFC Leopard ya Kenya.
Wadau mbalimbali hususani waliopo nje ya Dar es salaam wamekuwa na maswali mengi kuhusu kuoneshwa Live kwa mechi hiyo.
Azam TV kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook imethibitisha kuwa Simba SC vs AFC Leopard itakuwa live kupitia chaneli ya AZAM TWO na AZAM SPORTS HD.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video