Monday, August 15, 2016

Arsene Wenger ameanza kutoa visingizio baada ya kipigo cha magoli 4-3 kutoka kwa Liverpool jana katika Uwanja wa Emirates.

"Bado hatupo tayari, kimwili bado hatujawa tayari," Wenger amesema.

"Unaona mchezaji kama Ramsey ameumia kutokana na kutopata mapumziko ya kutosha."

Alipoulizwa juu ya wachezaji ambao watakuwa tayari kucheza katika mchezo dhidi ya Leicester Jumamosi ijayo, Wenger akajibu: "Siwezi kujua. Tunnapaswa kuwa tayari wiki ijayo kwasababu tutawafuata Leicester.

"Tutaangalia kwanza namna ya kufanya juu ya wachezaji ambao kwa sasa wanajiandaa na wangapi ambao watakuwa majeruhi, je wanaweza kuwa fiti kwa mchezo ujao, sijui."

"Tulikuwa na wachezaji wengi ambao wamechelewa kutokana na Michuano ya Euro, kuna Aaron Ramsey, Laurent Koscielny, Mesut Ozil na Olivier Giroud.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video