Thursday, August 4, 2016

Wayne Rooney amesema licha ya mchezo wa jana dhidi ya Everton, ambao ulikuwa maalum kwaajili yake kuwa wa kirafiki, lakini kocha wao Jose Mourinho alikuwa anataka ushindi ili kuongeza rekodi yake katika michezo ya kirafiki ya pre season.
'Jose Mourinho anataka kushinda na alitaka kushinda mchezo wa leo usiku (jana),' Rooney alisema. ' Rooneya aliongeza kuwa wakati wa mapumziko alipata ujumbe kutoka kwa Mourinho kwamba alitaka ushindi katika mchezo ule
"Si mtu wa kupiga makelele lakini ana matarajio ya kupata vitu fulani kutoka kwa wachezaji wake.
'Ana ile shauku ya kuona timu yake inashinda. Kwa sasa hatumuoni akirusha vitu, lakini tuone hali itakavyokuwa pale msimu utakapoanza.
'Ni mshindani na anahitaji kushinda wakati wote, iwe kwenye mchezo wa kirafiki kama wa leo (jana) na hata mchezo ujao wa Ngao ya Hisani.'

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video