Jezi mpya za Simba SC
Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom, leo wamekabidhi vifaa vya michezo zikiwemo jezi kwa klabu za ligi kuu zitakazoshiriki msimu wa 2016/2017.
Miongoni mwa timu zilizopata vifaa hivyo ni klabu kongwe za Simba na Yanga.
Kumekuwepo na mijadala kwenye mitandao ya kijamii kwa mashabiki wa timu hizo za Kariokoo wakitambiana kuhusu uzuri wa jezi hizo.
Yanga wanasema za kwao ziko bomba, nao Simba wanavutia kwao.
Je, ipi ni jezi kali kati ya hizo mbili?
Uzi mpya wa Yanga SC
0 comments:
Post a Comment