Monday, August 15, 2016

Baada ya Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji kutangaza kujiuzulu nafasi hiyo, Mashabiki na wanachama wa Yanga wamekusanyika kwenye ofisi za klabu hiyo wakipinga kujiuzulu kwa Manji.

Baadhi ya wanachama na mashabiki wamekuwa wakidai kwamba kuna watu ambao hawataki kumuunga mkono Manji katika zoezi zima la kutaka kuikodi timu pamoja na nembo kwa miaka 10.

Mzee Akilimali amekuwa akitajwa kuwa miongoni mwa watu wanaopinga kusudi la mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuf Manji kuikodi klabu hiyo.

Hapa chini unapata fursa ya kuangalia video iliyowekwa kwenye mtandao wa facebook (Naipenda Yanga) ambayo inaonesha baadhi ya mashabiki waliokusanyika makao makuu ya klabu hiyo wakipinga kujiuzulu kwa mwenyekiti wao.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video