Matajiri wa Madini ya Almasi, Mwadui FC kutoka Shinyanga, Agosti 27, 2016 Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, wamechomoza na ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbao FC kwenye mechi ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara.
Bao pekee la ushindi kwa Mwadui FC limefungwa na Abdallah Seseme
0 comments:
Post a Comment