Sasa ameamua kubadilisha mtindo na kuja kivingine. Kwa sasa ameamua kuweka nywele zake madoido mithili ya nyoka.
Upande wa kushoto wa kichwa chake anaonekana kuwa na picha ya nyoka iliyochorwa kwenye kichwa chake, kukiwa kuna mchanganyiko wa rangi nyekundu, nyeusi na nyeupe.
Ona video na picha hapo chini.
Ona video na picha hapo chini.
0 comments:
Post a Comment