Mayhem, Central America
Hii imetokea Amerika ya Kati kunako ligi daraja tatu ya Guatemalan ambapo kulikuwa na mchezo kati ya Deportivo Chicacao naObereños mwishoni mwa wiki
Mchezaji mwenye namba 7 mgongoni Daniel Pedrosa alimpiga mwamuzi kichwa na ngumi za usoni baada ya kumwonesha kadi nyekundu kutokana na kosa alilofanya uwanjani.
Refarii alionekana kuumia sana kutokana na wachezaji wengine kuchelewa kuigilia kati kitendo hicho.
0 comments:
Post a Comment