Wednesday, August 17, 2016

WAKICHEZA Ugenini huko Steau Stadium, Bucharest Nchini Romania katika Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mwisho ya Mchujo ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, Manchester City wameifumua Steau Bucharest 5-0 na kujiweka pazuri mno kusonga Wiki ijayo katika Mechi ya Marudiano.

Licha ya Sergio Aguero kukosa Penati 2 katika Mechi hii, moja ikiokolewa na Kipa na nyingine kupaa juu, Muargentina huyo alijirekebisha na kupiga Hat-triki.
Manchester City have lift off after David Silva profits from Raheem Sterling's good work to open the scoring on 13 minutes
Mabao mengine ya Manchester City katika mechi hiyo iliocheza jana usiku yalifungwa na Nolito na David Silva.
City watarudiana na Steau Jumatano ijayo huko Etihad Stadium Jijini Manchester na Mshindi kutumbukizwa kwenye Droo ya kupanga Makundi itakayofanyika Agosti 25.
Matukio makubwa:
8'                 Sergio Aguero-Akosa Penati
13'               David Silva-Goli
21'               Sergio Aguero -Akosa Penati
41'               Sergio Aguero-Goli
49'               Nolito-Goli
78'               Sergio Aguero-Goli
89'               Sergio Aguero-Goli

Hapa chini ni video ya Penati mbili alizokosa Aguero:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video