Monday, August 8, 2016

Hatimaye Manchester United finally wametangaza kunasa saini ya Paul Pogba na kuvunja mzizi wa fitini juu ya tetesi za muda mrefu zilizokuwa zikimhusisha mchezaji huyo na klabu hiyo.

Real Madrid pia walikuwa na uhitaji wa kiungo huyo raia wa Ufaransa, lakini United made walionekana kuwa na ihitaji naye zaidi baada ya kuweka mezani ofa nzuri na hatimaye kuvunja rekodi ya dunia.

Mourinho anamfuatilia Pogba vizuri kwenye Instagram yake
Jose Mourinho aliamua kuvunja ukimya juu ya Pogba baada ya mchezo Ngao ya Jamii Pogba na kusema kwamba hakuoenda kumzungumzia mchezaji huyo hapo kabla kwasababu alikuwa bado hajathibitishwa.
Manchester United boss Jose Mourinho admits to following Paul Pogbas Instagram activity (Video)
Mourino amesema kwamba hana  shaka yoyote juu ya ufiti wa Pogba kwa maana ya utayari wake wa kucheza na kuongeza kuwa amekuwa akimfuatilia kupitia mtandao wa Instagram, ambapo amekuwa akiweka video kadhaa zinaoonesha akifanya mazoezi ya viungo na mchezo wa mpira wa kikapu.

Video

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video