VIDEO: MAGOLI YOTE SIMBA SC IKITOKA 1-1 NA URA FC UWANJA WA TAIFA Wekundu wa Msimbazi Simba leo wametoka sare ya 1-1 dhidi ya Timu ya Mamlaka ya Mapato ya Uganda, URA FC kwenye mchezo wa kimataifa uliochezwa uwanja wa Taifa, Dar es salaam. Hapa chini ni Video ya magoli yote mawili:
0 comments:
Post a Comment