Thursday, August 4, 2016

Kwa mshangao wa wengi aliyekuwa kocha wa Everton Roberto Martinez jana aliteuliwa kuwa kocha wa Ubelgiji.
Baada ya kumfukuza aliyekuwa kocha wa timu hiyo Marc Wilmots kufuatia kutofanya vyema kwenye Michuano ya Euro baada ya kutolewa na Wales, Chama cha Soka nchini Ubelgiji kilikuwa kikifanya mawindo ya meneja mpya, na sasa Roberto Matinez amekabidhiwa rasmi mikoba hiyo.
Kwa kuangalia rekodi yake ya hivi karibuni ambapo alitimuliwa na Everton, inaelezwa kwamba FA ya Ubelgiji imechukua uamuzi ambao haujazingatia matakwa ya wengi.

Romelu Lukaku anaonekana kutofurahishwa?
Kwenye moja ya clip za video zilizosambaa zinaonesha kuwa baada ya kusikia taarifa hiyo Lukaku hakuonekana kufurahishwa.
Akiwa amekaa kwenye bechi uwanjani Old Trafford wakati wa mchezo maalum wa Wayne Rooney’jana usiku, Lukaku alionekana kuweka mikono yake usoni akiashiria kutofurahishwa na taarifa za uteuzi huo.
Alioneka kumgeukia Ross Barkley, na kumnong'oneza kitu, halafu Barkley akajibu ‘Hakuna jinsi.’
Vile vile Lukaku alionekana akimnong;oneza Mbelgiji mwenziwe Kevin Mirallas wakati wakitoka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video