Ndani ya saa 24 tu, Liverpool wametoa kali ya mwaka...Jumamosi waliwachapa mabao 4-0 Barcelona katika mechi ya kirafiki uwanjani Wembley, lakini jana Jumapili nao wakachezea kichapo kama hicho (4-0( dhidi ya Mainz.
Home
»
KIMATAIFA
» VIDEO: LIVERPOOL NAO DUUUH!! BAADA YA KUITWANGA BARCELONA 4-0 NAO WACHEZEA 'KOKI YA MAJI'...
Monday, August 8, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment