Thursday, August 11, 2016

Lionel Messi jana alikuwa kwenye kiwango cha juu dhidi ya Sampdoria.
Akicheza katika mechi ya mashindano ya 51 ya Joan Gamper Trophy uwanjani Camp Nou, Lionel Messi alionesha maajabu yake kwa kupiga magoli mawili murua.
Muargentina huyo mwenye umri wa miaka 29 kipindi cha kwanza alikuwa hakabiki kabisa kwa wachezaji wa Sampdoria.
Tazama magoli aliyofunga Lionel Messi:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video