Friday, August 12, 2016

Cristiano Ronaldo selfie app

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid Cristiano Ronaldo amezidi kupanua wigo wa kujiongezea kipato pamoja na kusaidia wasiojiweza.
Ranaldo amezindua bidhaa yake mpya yenye jina lake la kibishara (brand) ya ‎CR7‬ ambayo application ya simu ya kupiga selfie ambayo inaitwa '‎Cr7Selfie'.
Kupitia application hiyo kwa njia ya simu, unaweza kupiga picha halafu ikaunganishwa picha ya Ronaldo kutengeneza Selfie. 
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, mapato yanayotokana na matumizi ya Application hiyo, yataenda moja kwa moja kwenye shirika la shirika la ‪Save the Children‬. 
Sehemu pekee ya kupata Application hiyo ni kupitia simu zote za 'smartphones'.

Unasubiri nini sasa? itafute App ya nyota huyo ili upige naye Selfie.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video