Sunday, August 14, 2016

Gary Lineker ametimiza ahadi yake ya kutangaza Show ya kwanza ya 'Match of the Day' ya BBC  msimu huu akiwa amevaa chupi ya kiaina tu 'Bukta' tu ilikuwa.
Lineker alianza show kwa kuvaa Bukta tofauti na chupi waliyomuandalia.
Wachambuzi wenzake Ian Wright na Alan Shearer walionekana wakicheka nyuma yake wakati akifungua Matangazo.
Gary anatakiwa awaombe radhi mashabiki kwa vile haikuwa Chupi kama alivyoahidi msimu uliopita kwamba, endapo Leicester City wakitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Ya England, angefanya kipindi cha kwanza msimu mpya akiwa amevaa Chupi.
Kwa bahati mbaya kwakwe, Leicester walifanya maajabu na kushinda taji la EPL, hivyo ilimlazimu jana atimize ahadi yake  kwenye show ya kwanza ya msimu mpya.
Lineker carried on chatting with Ian Wright and Alan Shearer during the show 
Lineker  akiwa kifua wazi aliendelea kujadili na  Ian Wright na Alan Shearer wakati wa kipindi hicho
Lineker posing proudly in his new boxer shorts on the Match of the Day set
Lineker akipozi na boxer yake kubwa ya Leicester City wakati wa show ya Match of the Day na alifanya hivyo baada ya mechi ya Manchester City dhidi ya Sunderland kumalizika.
Lineker made the pledge after his former club were leading the Premier League in December
Ahadi ya kutangaza akivalia chupi aliiweke Desemba mwaka jana baada ya Leicester kuichapa 2-1 Chelsea, lakini timu hiyo haikumshawishi mchezaji wake huyo wa zamani kwamba ingetwaa ndoo.

The BBC posted an image showing Lineker's white Y-fronts hanging in the dressing room
Mapema kabla ya show hiyo, BBC wali-post picha ya nguo za Lineker pamoja na chupi ambayo alitakiwa kuvaa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video