Klabu ya Azam FC, Agosti 27, 2016, imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Maji Maji FC 'Wanalizombe' kutoka Ruvuma katika mechi ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara iliyochezwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Nje kidogo ya jijini la Dar es salaam.
Magoli ya Azam FC yalifungwa na Nahodha Mwandamizi, John Bocco (Mawili) na Kiungo Mudathir Yahya Abass.
Mtangazaji wa Azam TV alikuwa Baraka Mpenja.
0 comments:
Post a Comment