VIDEO: BAO LA SIMON MSUVA YANGA SC IKIWAUA 3-0 AFRICAN LYON VPL! Simon Happygod Msuva alifunga bao la pili dakika ya 60 akimpiga chenga kipa wa African Lyon, Mcameroon, Youthe Rostand kufuatia pasi ya Mzimbabwe Thabani Scara Kamusoko.
0 comments:
Post a Comment