Juma Mahadhi aliyesajiliwa na Yanga SC mwishoni mwa Msimu uliopita akitokea Coastal Union ya Tanga alianza kazi kwa Wanajangwani hao akifunga goli la tatu katika ushindi wa 3-0 waliovuna dhidi ya African Lyon kwenye mechi ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara iliyochezwa Uwanja wa Taifa.
Sunday, August 28, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment