VIDEO: BAO LA DEUS KASEKE YANGA SC IKIICHAPA 3-0 AFRICA LYON Deus David Kaseke alianza msimu mpya wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (2016/2017) kwa kuifungia Yanga SC bao la kuongoza kwenye ushindi wa 3-0 dhidi ya Africa Lyon.
0 comments:
Post a Comment