Monday, August 8, 2016

Ushindi waliopata Manchester United dhidi ya Leicester City na kuchukua ubingwa wa Ngao ya Jamii jana, ulifunikwa na kitendo cha Jose Mourinho kumtoa Juan Mata ambaye aliingia akitokea benchi.
Mourinho alimuingiza Mata kipindi cha pili, lakini baadaye akamtoa tena, hakika hili ni jambo baya sana kwa mchezaji yeyote yule.

Mata akerwa

Mata alichukizwa na kushangazwa na kitendo cha yeye kutolewa na ikamlazimu kocha msaidizi wa Mourinho Rui Faria kumpa maneno ya faraja.
Alipogeuka na kumuona Mata amejisikia vibaya, Mourinho alimfuata na kumueleza sababu ya kumtoa, akamwambia, "Nimekutoa kwasababu wewe ni mfupi sana", kwa maana hiyo asingeweza kucheza mipira ya juu dhidi ya mabeki wa Leicester City.
Hahahah! Mata akaachia kicheko! cheki video hapo chini:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video