Monday, August 8, 2016

Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Man City iliyopigwa jana usiku. 
Mabao ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott, Alex Iwobi na Chuba Akpom. Wakati mawili ya Man City yalifungwa na Kun Aguero na Kelechi Iheanacho. 
Gabriel required a stretcher to leave the field in a cruel blow on the eve of the new season
Hata hivyo, Arsenal bado wamezidi kupata balaa katika safu yao ya ulinzi kuelekea mechi ya ufunguzi wa ligi kuu England dhidi ya Liverpool baada ya beki Gabriel kutolewa jana kwa machela kufuatia kupata majeraha.
The 25-year-old is carried off on a stretcher with stoppage time almost up in Gothenburg
Hii inamaanisha Arsene Wenger hatakuwa na beki yeyote mzoefu wa kati kwenye kikosi chake mwanzoni mwa Msimu.
Arsenal defender Gabriel winces in pain after suffering an ankle injury against Manchester City
Per Mertesacker yuko nje ya dimba kwa miezi minne, wakati Laurent Koscielny  bado hajarejea mazoezini.
Vijana Ron Holding na Calum Chambers ndio pekee wapo salama kikosini mpaka sasa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video